Monday, 30 April 2018

HEBU ISOME KAULI HII YA MKUU WA KANISA LA KKKT


Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Dkt Fredrick Shoo amesema kuwa, ili taifa lolote duniani lipate maendeleo endelevu, viongozi wake wanapaswa kuondoa mizaha na siasa kwenye mambo ya msingi ikiwamo elimu na afya.
CREDIT:SWAHILI TIMES

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search