Saturday, 7 April 2018

KAYA 45 ZAKOSA MAHALA PA KUISHI KUFUATIA MVUA KUBWA ILIYONYESHA


Kaya 45 hazina mahala pa kuishi baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kuezua mapaa ya nyumba na kuharibu mashamba katika Kata ya Kasambya, Wilaya Missenyi, Kagera. Mkuu wa Wilaya ametembelea waathirika na kutoa misaada mbalimbali kwa familia zenye uhitaji wa haraka.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search