Thursday, 5 April 2018

MELI YA UINGEREZA YAINULIWA KUTOKA BAHARINIMeli ya abiria ya Uingereza iliyozamishwa kwa kupigwa bomu na ndege za Japan wakati wa vita ya pili ya dunia, imeinuliwa kutoka baharini na kundi la wapiga mbizi wa Jeshi la Wanamaji wa Sri Lanka. Ilikuwa umbali wa futi 35 chini ya bahari katika bandari ya Trincomalee

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search