Tuesday, 24 April 2018

NSSF YAINGIZA BILION 14.9 DARAJA LA KIGAMBONIMkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godius Kahyarara amesema kuwa, kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Mwachi mwaka huu, Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, limeingiza TZS 14.9 bilioni. Amesema mafanikio hayo yametokana na usimamizi mzuri.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search