Thursday, 5 April 2018

SERIKALI YA ZAMBIA YAMFUKUZA BALOZI WA CUBA BAADA YA KUKIUKA SHERIA ZA KIDOPLOMASIA


Serikali ya imemfukuza nchini humo Balozi wa Cuba, Nelson Pages Vilas baada ya kukiuka sheria za kidiplomasia kwa kujihusisha na siasa. Balozi Vilas alihudhuria sherehe za kuzinduliwa kwa chama cha upinzani cha kijamaa (Socialist Party) kilichoundwa na Fred M'membe.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search