Monday, 30 April 2018

SERIKALI YA ZIMBABWE YAHALALISHA UZALISHAJI WA BANGI


Serikali ya imehalalisha uzalishaji wa bangi kwa matumizi ya kitabibu na kisayansi. Ili kuweza kuzalisha bangi, utahitaji kupata kibali kutoka serikalini. Zimbabwe inakuwa nchi ya pili Afrika kuhalalisha matumizi ya bangi, baada ya iliyofanya hivyo mwaka 2017.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search