Saturday, 7 April 2018

TAARIFA KWA UMMA

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeeleza kuwa, vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Kigoma, Lindi na Mtwara. Mikoa mingine ni Dar, Pwani, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search