Thursday, 5 April 2018

WANADIPLOMASIA WA URUSI WAANZA KURUDI NCHINI KWAO BAADA YA KUFUKUZWA MAREKANI


Wanadiplomasia 60 wa Urusi pamoja na familia zao wameanza kurejea nchini mwao kutoka Marekani baada ya kufukuzwa juma lililopita. Balozi wa Urusi nchini Marekani, Anatoly Antonov ameonesha kuchukizwa na hatua ya hiyo kwa kuwa Wamarekani ni marafiki wakubwa wa Urusi.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search