Sunday, 8 April 2018

WATU WATATU KATI YA SITA WALIOTEKWA HUKO KISIWANI PEMBA AWAPATIKANA WAKIWA HAI


PEMBA: Watu 3 kati ya 6 waliotoweka siku 5 zilizopita wapatikana wakiwa hai. Jeshi la Polisi linaendelea na utaratibu wa kuwahoji.

Waliopatikana ni Juma Kombo Fimbo (17), Said Shanani Mohamed (16) na Abdallah Khamis Abdallah (19)

Imeelezwa vijana hao walionekana alfajiri, wawili kati yao mikononi wakiwa na kamba.

Taarifa kamili kuhusu tukio zima la kutekwa nyara kwa vijana hao itatolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini walikotoweka vijana hao siku 5 zilizopita

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search