Monday, 30 April 2018

WAZIRI WA MABO YA NDANI UINGEREZA AJIUZULUWaziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza, Amber Rudd amejiuzulu kufuatia kashfa ya kuwaondoa wahamiaji haramu iliyoikumba ofisi yake. Ofisi yake ilikusudia kuwaondoa nchini humo asilimia 10 ya wahamiaji haramu.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search