
Arsene Wenger has confirmed he will step down as Arsenal manager after 22 years at the club
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha kwamba atajiuzulu kuifundisha Arsenal mwishoni mwa msimu huu.
Wenger, 68, ameoamua kuondoka huku akiwa amebakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake wa kuifundisha timu hiyo naameiongoza timu hiyo kwa miaka 22.
Alianza kuifundisha Arsenal 1 October 1996, na ameionbgoza timu hiyo kucheza jumla ya mechi 823 za Premier league na akiwa ndie kocha amabye ametumikia kwa muda mrefu kwa wanaofundisha sasa.
Katika taarifa yake aliyoitoa leo kwenye mtandao wa klabu ''Baada ya kufanya majadiliano ya kina na na klabu nafikiri ni wakati muafaka wa mimi kachia ngazi mwishoni mwa msimu huu'' Amesema WengerI
"Nina furaha kubwa sana kwa kupata fursa hii adhimu ya kuifundisha klabu hii kwa miaka mingi ya kukumbukwa.
"Nimeiongoza klabu kwa kuwajibika kwa hali ya juu.
"Napenda kshukuru wafanyakazi,wachezaji wakurugenzi pamoja na washabiki ambao wamefanya hii klabu kuwa ya kipekee.
"Nimeiongoza klabu kwa kuwajibika kwa hali ya juu.
"Napenda kshukuru wafanyakazi,wachezaji wakurugenzi pamoja na washabiki ambao wamefanya hii klabu kuwa ya kipekee.

Arsene Wenger has tipped former Arsenal midfielder and New York City boss Patrick Vieira as his replacement
Ina aminika kwamba Patrick Vieira ambaye ni kiuongo wa zamani wa timu hiyo huenda akapewa mikoba ya kuinoa timu hiyo baada ya Wenger kuondoka.
Mmiliki wa Arsenal ameuambia mtandao wa Arsenal ''Hii ni siku ngumu kabisa ambayo wamekuwa nayo katika maisha yao ya kimpira'' Sabau kubw ailiyotufanya tuwekeze katika klabu ya Arsenal ni kutoka na na yale yaliyoletwa na kocha Wenger ndani na nje ya uwanja.Kudumu kwake kwenye timu hii kwa muda mrefu kwenye klabu n amafanikio makubwa aliyoiletea klabu na kuwa na mafanikio ya hali ya juu hayawezi kufananishwa kabisa ''Ameongeza
"Arsène amekuwa nakiwango cha juu na tutamuheshimu daima.Kila mtu amabye ni mpenzi wa mpira anapaswa kumuheshimu kwa aliyoyafanya''n
"Wenger amechukua makombe matatu ya Ligi kuu ya Uingereza ikiwemo na ule msimu wa kuchukua kombe bila kufungwa, Makombe saba ya kombe la FA pamoja na msimu 20 katika ligi ya mabingwa barani ulaya UEFA champions League ni rekodi ya kipekee na ya kujivunia ya kocha huyu''.

Arsene Wenger had one year left on his current Arsenal contract
Post a Comment