Saturday, 7 April 2018

WIZARA YA ELIMU YATOLEA UFAFANUZI UKOMO WA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO


Wizara ya Elimu imesema imeweka ukomo wa miaka 25 kwa wanaojiunga kidato cha 5 kutoka na ukweli kwamba, ukichanganya wanafunzi wenye umri mkubwa na mdogo, unaathiri mazingira yao ya kujifunzia. Wizara imeeleza, kwa wenye miaka miaka 25 wanaweza kutumia njia nyingine kufika chuo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search