Wednesday, 16 May 2018

AFRIKA YA KUSINI IMEMRUDISHA NYUMBANI BALOZI WAKE NCHI ISRAEL


Afrika Kusini imemuagiza balozi wake nchini Israel, Sisa Ngombane kuondoka nchini humo na kurejea Afrika Kusini, mpaka pale atakapopewa maelekezo mengine. Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya shambulizi la Israel ambalo limesababisha vifo vya Wapalestina 55 katika eneo la Gaza.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search