Friday, 18 May 2018

ASKARI POLISI APANDISHWA CHEO NCHINI ZAMBIA BAADA YA PICHA KUSAMBAA ZIKIMUONESHA AKIONGOZA MAGARI WAKATI WA MVUA

Askari Polisi, Charity Nanyangwe kutoka amepandishwa cheo na kuwa Sajenti (Sergeant), baada ya picha zake kusambaa mitandaoni akiongoza magari huku mvua ikinyesha jijini Lusaka.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search