Saturday, 26 May 2018

DR SHIKA AANZA KUONESHA MKUCHA YAKE BAADA YA KUPOKEA KIASI KIDOGO CHA PESA YAKE NA HII NDIO NYUMBA ALIYOHAMIA


Dr. Louis Shika Kid amepokea sehemu kidogo ya mpunga wake $60m kama shilingi bilioni 130 na zaidi za madafu. Dr. Shika amesikika akisema ''Tutaelewana''. Sasa amehama makazi na sasa anaishi makazi bora kabisa ambayo ni ghorofa ambalo kwa ndani linaonesha si haba.

VIDEO:

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search