Wednesday, 16 May 2018

KAMANDA WA POLISI WA MJINI MAGHARIBI KUKAMATA WANAUME WANAOJIKOHOLESHA PINDI WANAWAKE WENYE MAUMBILE MAKUBWA WAKIPITAKamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Nassir asema, atawakama na kuwafikisha mahakamani wanaume wote wanaojikoholesha pindi mwanamke mwenye maumbile makubwa anapopita, kwani hilo ni shambulio la aibu. Hata kumsumbua mwanamke anapopita, ni shambulio la aibu, amesema.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search