Wednesday, 16 May 2018

MAHAKAMA KUU NCHINI KENYA YAPINGA UAMUZI WA MABADILIKO YA SHERIA YA NDOA


Mahakama Kuu nchini imepinga mabadiliko ya sheria ya ndoa yanayotaka wanandoa kugawana mali (50-50) wanapoachana kwa talaka. Jaji wa Mahakama hiyo, John Mativo ametaka wanandoa waliotalikiana, kugawana mali walizozichuma pamoja wakiwa ndani ya ndoa na si vinginevyo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search