Friday, 18 May 2018

TPSF YAELEZEA KINACHOPELEKEA KUFUNGWA AU KUFA KWA BIASHARA NCHINI

Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), umesema, kinachochangia kufa au kufungwa kwa biashara nyingi nchini ni mazingira magumu ya kibiashara. Aidha, utafiti uliofanywa na TPSF umebaini biashara 4,640 zimefungwa katika kipindi cha miaka mitatu kutokana na vikwazo mbalimbali.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search