Saturday, 26 May 2018

MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA UDOM AUAWA KWA KUCHOMWA KISU

Mhadhiri wa Chuo cha Biashara katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mdenye ameuawa kwa madai ya kuchomwa kisu na mumewe usiku wa kuamkia leo Mei 26,2018 kwa wivu wa mapenzi.

Akizungumza na Mwananchi Digital leo asubuhi, Ofisa Uhusiano wa Chuo hicho, Beatriece Mtenga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.

Mtenga amesema msiba upo Kisasa Sheli.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search