Wednesday, 2 May 2018

MOURINHO AMPA KARICK VIDONGE VYA MAUMIVU

Image may contain: 3 people, people smiling, people standing and suit
Jose Mourinho ampa vidonge vya maumivu Michael Carrick : Kwenye hafla ya kutoa tuzo kwa wachezaji wa Man United, Mourihno alimuaga Carrick kama mchezaji na kumkaribisha kama member wa coaching staffs. Akimkaribisha alimpa jearsy ya makocha, filimbi ya kufanyia kazi. Lakini pia alimpa vidonge vya kupunguza maumivu (Pain Killer) avitumie muda atakao kuwa kocha. Maana yake ajiandae na maumivu ku deal na mashabiki, wachezaji, waandishi wa habari, marefa na wengineo watakaojitokeza.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search