Monday, 28 May 2018

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AKUTANA NA MAKAMU WA MWENYEKITI KITI BARA NA ZANZIBAR NA KUFANYA NAO MAZUNGUMZO

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na makamu wake wa Visiwani, Rais Dkt. Ali Mohammed Shein, wakitafakari jambo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 26, 2018 baada ya mazungumzo yao.

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search