Friday, 25 May 2018

RAIS MAGUFULI AWATEUA MIZENGO PINDA NA MAKONGORO NYERERE KUWA WAJUMBE WA NEC


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wajumbe wa Nec Ndugu Mizengo Pinda waziri mkuu mstaafu na Makongoro Nyerere

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search