Monday, 7 May 2018

RC awaomba waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi warejee nchini wazungumze

Image result for luteni chiku galawa
Mkuu wa mkoa wa Songwe, ndugu Chiku Galawa amewaomba wafanyabiashara wa Tunduma waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi kubwa wanazokadiriwa na TRA warudi nchini kwa madai kuwa mambo ya kodi ni ya kuzungumza tu.

Wafanyabiashara hao inadaiwa walifikia maamuzi hayo baada ya kuchoshwa na kero kutoka TRA hivyo kwenda Zambia ambako kuna unafuu.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search