Wednesday, 16 May 2018

SAM ALLARDYCE KIBARUA CHAKE CAH KUIFUNDISHA EVERTON KIMEOTA NYASI

Image may contain: 1 person, text
Baada ya kuitumikia Everton kwa miezi 6, kibarua cha Sam Allardyce kimeota nyasi katika klabu ya Everton!
:
26 games
10 wins
7 draws
9 losses
38.5% win rate
:
Aliiongoza Everton kutoka nafasi ya 13th mpaka ya 8th katika Premier League.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search