Wednesday, 16 May 2018

SERIKALI YA GAMBIA YAPIGA MNADA MALI ZA YAHYA JAMMEH


Serikali ya inapiga mnada mali za aliyekuwa kiongozi wa taifa hilo, Yahya Jammeh yakiwemo magari ya kifahari (Rolls Royce), ndege tatu binafsi na jumba la kifahari ili kufidia madeni ya nchi. Hadi mwishoni mwa 2017 deni la taifa hilo lilikuwa 130% ya pato la taifa (GDP).

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search