Wednesday, 16 May 2018

SERIKALI YAZIFUTIA USAJILI KAMPUNI TISA ZA WAKALA WAKALA WA AJIRA


Serikali imezifutia usajili kampuni tisa za wakala binafsi wa ajira, kwa kosa la kubadili anuani za ofisi zao pamoja na kutowasilisha taarifa kwa kamishna wa kazi mara baada ya mikataba ya kazi ya wafanyakazi wao kukamilika.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search