Tuesday, 29 May 2018

SIMBA YAMSAJILI ADAM SALAMBA

 
 
Hatimaye Simba imemalizana na mshambuliaji kinda wa Lipuli FC, Adam Salamba.
 

Salamba amesaini kuitumikia Simba kwa mkataba wa miaka mitatu.
 

Kazi ya kusaini mtaba hup imefanyika mbele ya Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’.Baada Salamba alipata nafasi ya kuona ana Mohamed Dewji, Bilionea anayetarajia kuwekeza ndani ya Simba kitita cha Sh bilioni 20.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search