Friday, 18 May 2018

VIATU VYA MOHAMED SALAH VYAWEKWA KATIKA JUMBA LA MAKUMBUSHO YA MISRI NCHINI UINGEREZA


Viatu vya Mohamed Salah alivyotumia kuchezea mpira vimewekwa katika Makumbusho ya Misri nchini Uingereza. Katika msimu wa 2017/18 Mo Salah ameshinda tuzo binafsi 6 ikiwa ni pamoja na kiatu cha dhahabu, kwa kufunga magoli 32 .

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search