Monday, 28 May 2018

WAZIRI KAMWELWE (MB) ASAINI MKAKATI UNAOGUSA UENDELEZAJI NA UTUNZAJI WA RASIMALI MAJI BARANI AFRIKA.

  Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb),  kushoto, akifuatiwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitika Mkumbo, pamoja na wajumbe waliohudhuria kikao kutoka Baraza la Mawaziri wa Maji Barani Afrika (AMCOW).

  Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb),  wa pili kushoto, akisaini mkakati kuhusu uendelezaji na utunzaji wa rasimali maji barani Afrika ofisini kwake mapema leo Mei 25, 2018.


 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mawaziri wa Maji Barani Afrika (AMCOW) Dokta Canisius Kanangire, (kushoto) akishuhudia Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akisaini mkakati kuhusu uendelezaji na utunzaji wa rasimali maji barani Afrika ofisini kwake mapema

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search